HATUA ya mbwa na kiatu kufunga goli

mbwa hodari

Hakuelewa jinsi gani watu wanakimbizana na kung’ang’nia ngozi na hatimaye kutoa hadi machozi kwa furaha na wengine kwa machungu. Hili ndilo kitendawili kilichokuwa bila jibu kwake yeye mbwa. Jambo hili lilimshangaza sana. Ndiposa akaamua kwanza avae sare kama wao ili aone kama atapata msisimko akibadilika. Akajiandaa vilivyo kwa kuhakikisha amesoma kila jambo kuhusu shughuli zinazotendeka… Soma zaidi