
msaada
-
Mashua ya paka
Paka wa kwanza, Mweusi, alitokea mji wenye pilikapilika nyingi. Alikuwa ametelekezwa mitaani baada ya mwenyewe kuhamia nchi nyingine.

Takajua Mkebekazi
Mimi ni Takajua, msanii na mpishi wa maneno, ninayependa kuumba simulizi zinazochochea fikra na kuamsha hisia.Sasa, nimejitosa katika kusimulia hadithi mtandaoni, shuleni, na katika matukio maalum, nikileta simulizi zenye mafunzo na burudani kwa watoto na watu wazima.
Je,umesoma?
