Basi la simama kuona masikio makubwa Mnyama huyo alikuwa ndovu mwenye haiba, akiwa amekuja kuchukua matunda yaliyoanguka barabarani.
Karamu ya Fisi na Kondoo ‘Mmoja wetu alipata majeraha baada ya kukumbatia fisi’, kondoo mwingine akaongeza.
Ndoto ya bata Wakati ndege wengine walipanga foleni kuwasilisha maombi yao, bata alikuwa akitazama mezani kwa tamaa. Harufu ya chakula cha kupendeza ilimvutia sana,
Mechi ya ndovu Wanyama walihitaji refa wa haki, asiyeweza kushawishiwa kwa maneno ya uongo wala rushwa ya ndizi.
Ng’ombe ajipata ndani ya runinga Kesho yake, Bongosi alibeba runinga hadi malishoni. Alifunga kwenye mti mkubwa karibu na mahali ng’ombe wake walikuwa wakila nyasi.
Mashati na Nguruwe wa Ajabu “Mashati, umepatwa na nini?” mzee Chale alimwuliza huku macho yake yakipanuka kwa mshangao.