ndege

Wimbo wa Nyangumi wamtoa ndege machozi

Hapo zamani za kale ndege na nyangumi walipendana sana kama chanda na pete. Ndege alipenda vile nyangumi alivyocheza na maji. Alipenda jinsi alivyokuwa akiogelea kwenye maji kwa ujuzi. Nyangumi alipenda sana manyoya meupe ya ndege. Alipenda pia kumtazama akipaa angani. Wote wawili walipenda kula samaki wadogo wadogo. Katika majira ya jioni ndege na nyangumi walikutana… Soma zaidi »

Wanatoa jasho bila miti

Hatukuweza kulala wale wawili wakiwa wanapiga mdomo juu yetu, kwa hivyo tukasonga mbele kuwaondokea. Mazungumzo yao yalitufanya TUSHANGAE kuhusu idadi ya watu. Ingawa tuna wazo la wanadamu wangapi duniani, tulikuwa na hamu ya kujua idadi ya wanyama wangapi waliopo ulimwenguni. Tumbili alikuwa akitazama wanadamu ufuoni. Kobe kwa vile hangeweza kupanda mti alipokea majibu kutoka tumbili… Soma zaidi »