bet mpira

JINAMIZI la Mchezo wa Kamare

Agosti 13, 2019 tekepunda 8

Hatimaye, kampuni ya Jaribu bahati yako, imemtangaza tumbili kuwa mshindi wa jackpot ya mega na maji milele daima. Tumbili ametangazwa mshindi baada ya kujaribu bahati […]

Watetea ndizi na mgomba si wako

Septemba 25, 2018 tekepunda 0

“Nilikupa ndiziĀ  ukakataa. Angalia sasa tuko kotini. Mbona hivi?”, Paka akamwuliza Kunguru. ‘Mimi nilikuwa naelekea sokoni ndiposa nikakuona ukibeba ndizi’. Kunguru akajibu. ‘Wewe umewahi kuona […]

Ushahidi ndizi mahakamani

Septemba 14, 2018 tekepunda 0

Kunguru alishika Kitabu cha Ukweli na kuapa kwamba atasema ukweli peke yake na kwamba hataongeza maneno ya kupotosha au kuwadanganya wasikilizaji. Mzee Kobe alirudisha Kitabu […]