Watu kuvutiwa na ngoma ya chui

Kisha, ilipofika zamu ya Chui, pori lilitulia. Chui alianza kwa kutembea kwa mwendo wa taratibu, akitumia hatua za kimya lakini za mdundo wa kuvutia.

Kupanda mchongoma kushuka ngoma

Na tangu siku hiyo, hakuwahi tena kupanda miti akiwa amevaa suti. Aliamua, bora awe Kaptula wa kawaida kuliko Kaptula wa kuabisha.