mbuzi mataani

HAKI ya kuvuka barabara kapewa jamii ya mbuzi

Julai 14, 2020 tekepunda 2

Hata hivyo, sheria ya usalama barabarani imeonekana kukosa usawa hivyo kuwalazimu wanyama mbalimbali wakiwamo punda, paka na mbwa kugongwa na kupoteza mwelekeo wakiwa katika mstari wa mbele wakipigia kelele sheria ya uvukaji barabara

Mwenye shibe hamjui mwenye njaa

Oktoba 17, 2018 tekepunda 0

Tumbili alipandishwa kizimbani pamoja na Paka. Paka akiwa na majeraha madogo madogo kichwani kutokana na kichapo alichopata akiwa anatoroka¬† naye Tumbili alikuwa ameshika mkia wake. […]

No Picture

Zua Rabsha

Julai 13, 2018 msumeno 0

Kulikuwa na punda wawili , mmoja mnene na mwingine mwembamba kiasi. Wote walikuwa wakila nyasi katika eneo mmoja. Yule mnene alipoishiwa na nyasi akaenda kunyemelea […]