macho kwa kona

MSHALE kwa Bunduki

Januari 21, 2020 tekepunda 10

Kumbe ni ukweli mkebe sio simu. Haiwezi kuwa simu. Kiatukubwa alikanywa aache kupiga mabati lakini aliendelea. Alikataa kabisa kusikia ushauri wa kuku. Madai yalikuwa ya […]

uvamizi wa nzige

NJAA ya nzige

Disemba 24, 2019 tekepunda 9

Mzee Kobe hakuwahi kusikia joto kali kama alivyohisi siku hiyo. Kobe alikuwa na wasiwasi kwa vile hakuwa ameoga na alikuwa anatokwa na jasho jingi mwilini. […]