Safari ya mende mfalme Panzi akaangua kwa kicheko. “Unacheka kwa sababu hujui jinsi nilivyo na nguvu,” alisema kombomwiko.