Asiye kubali kushindwa si mshindani

asiyekubali kushindwa

‘Twende SOKONI LEO.’, Rasto Paka kamwambia Boflo panya. ‘Kuna nini kizuri sokoni ? ’ ,Boflo akauliza. ‘Mbuzi anauza mechi mzuri.’, Rasto akaeleza. ‘Mechi kuuzwa? Sielewi. ’, Boflo akasema. ‘ Wewe ni mshabiki wa mchezo wa kandanda ?’ , Rasto akauliza. ‘Mshabiki nambari mmoja’ , Boflo akajibu kwa kishindo. ‘Hebu fikiria kama ungeweza kubashiri michezo yote.… Soma zaidi