Ni mfumo wa Elektroniki au Dijitali?

hatari mtandaoni

Mguu hatari uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii hatimaye ilimfikia Schwarznegger akiwa anapiga picha. Hakuna aliyedhani kwamba huyu nyota wa filamu ya Terminator atashambuliwa na flying kick wakati mmoja hadi karibu kuanguka. Hata hivyo Schwarznegger alijibu mara moja kupitia wafuasi wake wa twitter milioni nne hivi na kumuangamiza mshambuliaji huyo kidijitali kwa kutomfungulia mashataka na kutomtambua.… Soma zaidi