uvamizi wa nzige

NJAA ya nzige

Disemba 24, 2019 tekepunda 9

Mzee Kobe hakuwahi kusikia joto kali kama alivyohisi siku hiyo. Kobe alikuwa na wasiwasi kwa vile hakuwa ameoga na alikuwa anatokwa na jasho jingi mwilini. […]