NDEGE walalamikia ukosefu wa miti ndani ya mji

ndege na mwavuli

Katika kikao kimoja jijini, ndege wote walitua katika jumba la kimataifa. Mbuni shingo mrefu akiongozwa na tausi mrembo, walimkataa kasuku magazeti kwa madai ya kushiriki na binadamu kutengeza viti na meza kwa mitindo tofauti tofauti ya kuandaa vyakula mezani. Walidai tabia ya kasuku kushindwa kutekeleza maagizo wanayoyatoa katika vikao, huenda ikawakosesha mahala pa kujenga viota… Soma zaidi