BILA miguu ndivyo chatu mwona mbali alivyoingia sokoni

vurugu sokoni na chatu

‘Aliingia vipi ndani ya soko?’, punda masikio kubwa akauliza. ‘Wewe unashangazwa na vile chatu alivyoingia sokoni. Hebu jiulize vile alivyokagua bidhaa kabla ya kununua?’, panya mla mkate akachangia gumzo. ‘Nyinyi mmepitwa na wakati. Hamjasikia kuhusu soko ya mtandao?’, paka akawaeleza akipapasa masharubu yake. ‘Tueleze hiyo soko iko wapi.’, punda masikio kubwa akarudisha. ‘Namuunga mkono punda,… Soma zaidi

Ulimwengu wa Cryptocurrency

pesa mambo

Wengi hawana uhakika kama ni pesa halali au ni pesa feki. Hakuna noti wala shilingi ambayo unaweza kushika na kuweka mfukoni au ndani ya kibeti. Tofauti na sarafu nyingine ‘cryptocurrency’ au sarafu dijitali haichapishwi. Isitoshe hakuna hazina maalum kama benki kuu . Basi kama haichapishwi utanunua au kuuza vipi? Kihistoria kabla ya sarafu yoyote kubuniwa… Soma zaidi

Asiye kubali kushindwa si mshindani

asiyekubali kushindwa

‘Twende SOKONI LEO.’, Rasto Paka kamwambia Boflo panya. ‘Kuna nini kizuri sokoni ? ’ ,Boflo akauliza. ‘Mbuzi anauza mechi mzuri.’, Rasto akaeleza. ‘Mechi kuuzwa? Sielewi. ’, Boflo akasema. ‘ Wewe ni mshabiki wa mchezo wa kandanda ?’ , Rasto akauliza. ‘Mshabiki nambari mmoja’ , Boflo akajibu kwa kishindo. ‘Hebu fikiria kama ungeweza kubashiri michezo yote.… Soma zaidi