Tamaa ya kupaa angani “Nimechoka na maisha haya ya chini. Natamani kuwa kama wewe na marafiki zako. Nataka kupaa angani na kufurahia upepo wa juu.