Nani Mrembo kama Tausi?

Mrembo

Yuko na wafuasi wengi ungedhani yeye mhubiri. Kila mahali alikoenda alitangazia wafuasi wake ili wamfuate na wampende. Hakuna aliyetaka kubaki nyuma. Akiwa anakula, akiwa anaogelea akiwa angani akiwa safarini ni muhimu mashabiki waajulishwe ili wabonyeze kitufe cha nakupenda. Bila kubonyeza kitufe juhudi zake zitakuwa za bure. Akiwa mahala popote lazima bonyeza kitufe cha nakupenda. Alipotea… Soma zaidi