Tumbili Chui na Papa

Tumbili ajipata matatani anapotaka kula ndizi. Chui na papa, wote hawa wawili, wanammezea mate. Tumbili mjanja alifanya vipi apate kuishi?

Nani kama mimi

Twiga alimkemea mbuni kwa kusema, “Unawezaje kujiita wa kipekee wakati huna miguu mirefu ya kutembea kwa maringo?”

Kilio Kati ya Miiba

“Nitafanyaje sasa? Giza limeingia, na siwezi kurudi nyumbani,” alijiwazia huku akijifuta machozi kwa shati lake la kijivu.