Ugali bila sufuria

akiba haiozi

Nani hangependa kuwa kama mbwa? Mbwa hawezi kukamuliwa kwa njia yoyote ile na kulishwa nyasi na mboga hadi kichinjio.  Mbwa ako na madaraka kuliko wanyama wengine. Hata hivyo maisha yanaweza kukatizwa na binadamu kutokana na uhuru wa uchaguzi. Lakini uchaguzi bila demokrasia ni kama ugali bila sufuria. Ugali kavu ni kujaza tumbo iache kupiga makelele.… Soma zaidi