HANA ujuzi wa kutosha

Disemba 10, 2019 tekepunda 9

Simba alikuwa amelewa. Lakini hakuna aliyetaka kuamini kwamba mwana wa mfalme, Andrew anaweza kufanya hivyo. Wengine walisema ni njaa ilimpeleka kutafuta chakula na malazi. Hata […]

WANACHEKA ndani ya runinga

Novemba 26, 2019 tekepunda 9

Amini usiamini ndugu yangu, lakini mambo haya yalitendeka. Hapo zamani za kale katika kijiji kimoja Afrika Mashariki kulikuwa na mchezo kati ya timu mbili kubwa. […]

Kondoo nani?

Ajabu Kondoo kucheka Kioo

Juni 4, 2019 tekepunda 24

Tangu apewe kioo, Kondoo haja pata kufanya jambo lingine ila tu kucheka. Asubuhi hata kabla ya jogoo kuwika aliamka kwa kicheko. Mchana kutwa alishinda akicheka […]

akiba haiozi

Ugali bila sufuria

Aprili 2, 2019 tekepunda 32

Nani hangependa kuwa kama mbwa? Mbwa hawezi kukamuliwa kwa njia yoyote ile na kulishwa nyasi na mboga hadi kichinjio.  Mbwa ako na madaraka kuliko wanyama […]