paka na daktari mbwa

Paka mjanja anakula kila kitu

Juni 2, 2020 tekepunda 19

Ilikuwa moja ya kesi hizo ambazo zinaonekana kuwa zaidi ya nguvu ya hata waganga waliosoma zaidi…wale wenye busara walimpelekea kila jani kutoka kwa misitu mbalimbali hata kutoka ofisi kuu la Tiba la Misitu, kujaribu bila mafanikio kupata njia ya kumtibu paka huyu ambaye hakuwa na furaha.

barabarani

Fikiria masilahi ya Tumbo

Mei 7, 2019 tekepunda 55

Hali ya tumbo imekuwa kizungumkuti. Hata waandamanaji nchini Sudan wameapa kutoondoka mitaani. Kwa sababu gani? Tumbo. Waandamanaji wanajua wasipo shughulikia swala la tumbo siku za […]