Akipenda chongo huita kengeza

Januari 9, 2019 tekepunda 0

‘MADARAKA ni wapi?’ , tekepunda akauliza. ‘Kwa nini punda, unataka kuhama?’, Rasto akauliza kwa hamu. ‘Kabila alitumwa huko madarakani kufanya kazi ya umma. Sasa amekwama. […]