MAJI TIRIRIKA na MIKONO bila ubaguzi
Maji tiririka alipogundua mikono alikuwa mchafu aliteremka kutoka juu ya mlima kupitia mfereji ili aweze kumfikia. Bila neno, akamwosha alipofika.

Haki zote zimehifadhiwa © 2021 | porojo tupu takajua.com