NG’OMBE apatikana na mkate moto ndani ya boma yake

chura na ng'ombe

Ilikuwa inanukia ajabu hadi ikavutia twiga mrefu kuchungulia ndani ya boma ya ng’ombe lakini kwa vile hakuwa amevaa miwani yake hakuona kilichokuwa kinatupa ile harufu. ‘Jamani, ng’ombe ni nini unapika?’, akauliza twiga mrefu. ‘Tangu lini mimi nikawa mpishi?’ , ng’ombe akamjibu akiwa amelala. Chura alisikia ng’ombe akiongea kwa kusisimua kati yao juu ya mkate moto… Soma zaidi