Akipenda chongo huita kengeza

‘MADARAKA ni wapi?’ , tekepunda akauliza. ‘Kwa nini punda, unataka kuhama?’, Rasto akauliza kwa hamu. ‘Kabila alitumwa huko madarakani kufanya kazi ya umma. Sasa amekwama. Ameshindwa kuondoka madarakani.’, Tekepunda akaendelea. ‘Pengine shida ni nauli ya kulipa basi.’, Boflo akachanga mawazo yake. ‘Kabila ashindwe kulipa nauli? Hiyo ni aibu kubwa. Sifikiri shida ni nauli. Isitoshe madaraka… Soma zaidi