Kilio Kati ya Miiba “Nitafanyaje sasa? Giza limeingia, na siwezi kurudi nyumbani,” alijiwazia huku akijifuta machozi kwa shati lake la kijivu.
Mazingira yetu tunamoishi Ulimwengu unahitaji upendo kwa kutunza mazingira yetu nzuri. Katika kitabu hiki kipya cha picha ambacho kinaangazia umuhimu wa miti katika maisha ya watoto hawa watatu.