NANASI tamu aongoza ndovu hadi mjini

tembo wengi

Mji ulifurika na wafuasi wa nanasi mtamu mpenzi wa maendeleo na ulinzi ukaimarishwa na askari tumbili kila kona kabla ya tembo kupuliza kipenga wakati wa muda wa kusalimiana. Barabara ilikuwa imewekwa nanasi kupotosha tembo waliokuwa mjini. Wafuasi hao walianza kumiminika asubuhi kabla jogoo wa kwanza kuwika asubuhi wakisubiri salamu za mfungua dirisha ambaye ni mwenyekiti,… Soma zaidi