Tumbili kujua maana ya Siri Kali

ukweli

Kweli tumefika mwisho wa dunia au ni mwanzo wa mambo mapya? Hivi karibuni tumbili watabadilishwa bongo na kufanywa sawa na binadamu. Swali wengi wanajiuliza ni kama watakuwa adui au rafiki wa binadamu. Hata hivyo kuna binadamu watundu kama wale wa volkswagen walioweka mtambo ya kudanganya na kuchafua mazingira. Binadamu ameingiwa na hofu kuwa tumbili watakuwa… Soma zaidi