MAVUNO ya bure bila kupanda mbegu

tumbili atazama

Lakini ilikuwaje? Tumbili mwenye ndoto nyingi, alikuwa amepewa jukumu la kusimamia shamba la mzee kobe kushughulika na uwizi na machafuko yaliyoongozwa na kiongozi wa zamani wa sungura aliyekuwa mlafi kupindukia. Tumbili aliingia kazini jioni akiwa na fimbo kama ilivyokuwa desturi yake. Alikuwa mmoja ya wale waliokuwa katika orodha ya wakati huo ya washika wezi kama… Soma zaidi