Chura mwerevu

Alipofika, aliona wasichana wawili, Hadija na Rukia, wakigombana vikali.

Mechi ya ndovu

Wanyama walihitaji refa wa haki, asiyeweza kushawishiwa kwa maneno ya uongo wala rushwa ya ndizi.