Hadithi Mashua ya paka namimi Januari 30, 2025Mei 18, 2025 Paka wa kwanza, Mweusi, alitokea mji wenye pilikapilika nyingi. Alikuwa ametelekezwa mitaani baada ya mwenyewe kuhamia nchi nyingine.