Hadithi | Methali Haraka Haraka haina Baraka Bymimi February 17, 2025May 18, 2025 “Mimi sina muda wa kupoteza! Haraka ndiyo maisha!” alisema Bw. Simiti kila mtu alipomwonya.