Skip to content mimi, Author at takajua
Skip to content
takajua

takajua

Ulimwengu wa maneno

  • Stori ya Tumbili
takajua
takajua
Ulimwengu wa maneno

Author: mimi

takataka lori
Hadithi | Methali

Haraka Haraka haina Baraka

namimi Febuari 17, 2025Mei 18, 2025

“Mimi sina muda wa kupoteza! Haraka ndiyo maisha!” alisema Bw. Simiti kila mtu alipomwonya.

Soma Zaidi Haraka Haraka haina BarakaContinue

paka wasita baharini na pomboo
Hadithi

Mashua ya paka

namimi Januari 30, 2025Mei 18, 2025

Paka wa kwanza, Mweusi, alitokea mji wenye pilikapilika nyingi. Alikuwa ametelekezwa mitaani baada ya mwenyewe kuhamia nchi nyingine.

Soma Zaidi Mashua ya pakaContinue

simba mdomo wazi na panya
Hadithi

Jino la Simba na Daktari Panya

namimi Januari 18, 2025Juni 20, 2025

Kwa uangalifu mkubwa, Panya Daktari aliingia kwenye kinywa cha simba na kuanza kukagua jino lililokuwa limevimba.

Soma Zaidi Jino la Simba na Daktari PanyaContinue

jogoo akisoma

Karibu kwenye ulimwengu wa Takajua, mahali ambapo hadithi zinapumua, wanyama wanazungumza, na Kiswahili kinang’aa kwa uzuri wake! Mimi ni Takajua, msanii na mpishi wa maneno, ninayependa kuumba simulizi zinazochochea fikra na kuamsha hisia.

Takajua
Angalia youtube

  • Stori ya Tumbili
Search