Skip to content hofu Archives - takajua
Skip to content
takajua

takajua

Ulimwengu wa maneno

takajua
takajua
Ulimwengu wa maneno

hofu

Asiyekubali kushindwa si mshindani
Hadithi

Asiyekubali kushindwa si mshindani

natakajua Machi 30, 2026

“Tucheze kwa haki,” alisema Kapteni wa Timu Punda.
“Ndiyo, mshindi apatikane kwa juhudi,” akajibu Kapteni wa Timu Tumbili.
Ndovu akapuliza kipenga chake kwa nguvu—fiiiiiiii! Mechi ikaanza.

Soma Zaidi Asiyekubali kushindwa si mshindaniContinue

Mzee Mandevu na Ngoma yake
Hadithi

Ngoma ya Mzee Mandevu

natakajua Machi 16, 2025Julai 26, 2025

Wanadamu na wanyama walijikuta wakicheza pamoja, bila woga wala uadui. Kijiji kilitawaliwa na vicheko, nderemo, na furaha.

Soma Zaidi Ngoma ya Mzee MandevuContinue

paka wasita baharini na pomboo
Hadithi

Mashua ya paka

namimi Januari 30, 2025Mei 18, 2025

Paka wa kwanza, Mweusi, alitokea mji wenye pilikapilika nyingi. Alikuwa ametelekezwa mitaani baada ya mwenyewe kuhamia nchi nyingine.

Soma Zaidi Mashua ya pakaContinue

jogoo akisoma

Karibu kwenye ulimwengu wa Takajua, mahali ambapo hadithi zinapumua, wanyama wanazungumza, na Kiswahili kinang’aa kwa uzuri wake! Mimi ni Takajua, msanii na mpishi wa maneno, ninayependa kuumba simulizi zinazochochea fikra na kuamsha hisia.

Takajua
Angalia youtube

Search