Mengine hapa
Mkubwa Ndogo na Mwepesi
natakajua
“Miti yetu yote imekatwa!” Ndogo alisema kwa huzuni, akitazama matawi
yaliyotapakaa chini. “Tutakaa wapi sasa? Hakuna kivuli, hakuna usalama!”
Mamba apiga mayowe hewani
natakajua
Lakini… mamba hakuwa na mabawa.
Alianza kuanguka huku akipiga mayowe, mikono ikipiga hewa bure.
“Naanguka! Naanguka!” alipiga kelele.
Asiyekubali kushindwa si mshindani
natakajua
“Tucheze kwa haki,” alisema Kapteni wa Timu Punda.
“Ndiyo, mshindi apatikane kwa juhudi,” akajibu Kapteni wa Timu Tumbili.
Ndovu akapuliza kipenga chake kwa nguvu—fiiiiiiii! Mechi ikaanza.
Haraka Haraka haina Baraka
namimi
“Mimi sina muda wa kupoteza! Haraka ndiyo maisha!” alisema Bw. Simiti kila mtu alipomwonya.
Jino la Simba na Daktari Panya
namimi
Kwa uangalifu mkubwa, Panya Daktari aliingia kwenye kinywa cha simba na kuanza kukagua jino lililokuwa limevimba.
Chura Mwerevu
natakajua
unajua sauti ya ROBO ROBO?
