fahamu na takajua

Fahamu
Kabla ya Pesa

Kabla ya pesa, watu walibadilishana bidhaa na huduma ili kupata walichohitaji.

Fahamu
Shibe ya Bata

Ndege walikusanyika kwa shangwe, kila mmoja akiwa na matumaini ya kuboresha maisha yao. Miongoni mwao alikuwa bata, ambaye alipenda kula kuliko kitu chochote kingine.