Hadithi
Maembe yangu yako Wapi?
Lakini siku moja jambo la ajabu lilitokea. "Mh! Mbona hakuna hata embe moja?" aliuliza Amina huku akitazama juu ya mti. "Jana matawi yalikuwa yamejaa!" akasema Juma kwa mshangao. Watoto wote waliinua macho. Kweli! Matawi yalikuwa karibu matupu.
