Mengine hapa
Kabla ya Pesa
natakajua
Zamani sana, kabla ya pesa kuvumbuliwa, watu walikuwa na njia moja tu ya kupata kile walichohitaji: kubadilishana bidhaa…
Asiyekubali kushindwa si mshindani
natakajua
“Tucheze kwa haki,” alisema Kapteni wa Timu Punda.
“Ndiyo, mshindi apatikane kwa juhudi,” akajibu Kapteni wa Timu Tumbili.
Ndovu akapuliza kipenga chake kwa nguvu—fiiiiiiii! Mechi ikaanza.
Safari mbuzi
natakajua
Ardhi ikatetemeka.
Chui akaogopa. Alijua hawezi kushindana na nguvu za Ndovu.
Jino la Simba na Daktari Panya
namimi
Kwa uangalifu mkubwa, Panya Daktari aliingia kwenye kinywa cha simba na kuanza kukagua jino lililokuwa limevimba.
Omondi na Samaki
natakajua
Lakini hakujua kuwa chini ya meza, panya mmoja mjanja alikuwa akitazama chakula hicho kwa tamaa kubwa.
Chura Mwerevu
natakajua
unajua sauti ya ROBO ROBO?
