Mkate chungu ni ya chungu

Katika nyumba moja, kulikuwa na mvulana aliyekuwa anaitwa Mwachofi. Mwachofi alikuwa mtoto mcheshi sana, lakini alikuwa na tatizo— miguu yake yalikuwa na uvundo. Mwachofi alipenda kutembea bila viatu, hata katika sehemu ambazo mtu hangethubutu kukanyaga. Alikuwa akitembea kwenye madimbwi yenye matope, akitembea juu ya takataka, na kukanyaga-kanyaga na kutifua vumbi, yote bila kujali hali yake … Endelea kusoma Mkate chungu ni ya chungu

Wimbo wa ndege

Katika msitu mmoja, uliokuwa na miti mengi aliishi fisi mvivu moja aliyekuwa anaitwa Huru. Tofauti na fisi wenzake ambao walikimbizana na kuwinda katika msitu, Huru mara nyingi aliota juu ya jiji la mbali alilosikia kutoka kwa ndege. Walizungumza juu ya taa zenye kung’aa ambazo hazikuzima na mitaa iliyojaa viumbe tofauti na msitu. Usiku mmoja, akisukumwa … Endelea kusoma Wimbo wa ndege