Urafiki wa Chui waleta utata

chui

‘Sitakwenda MJINI TENA!’, Paka akafoka akibubujikwa na machozi. ‘Kwa nini Paka?’, Teke Punda akauliza. Hujamwona rafiki yangu chui?’, Paka akauliza Teke Punda. ‘Sijamwona kwa muda’, Teke Punda akajibu. ‘Sasa hivi amelazwa hospitalini kutokana na risasi alizopigwa wakati chui alipokabiliana na Binadamu.’, Paka akaendelea. ‘Alipigwa risasi na yungali hai. Chui ni jasiri.’,Teke punda akasema. ‘Wewe huelewi,… Soma zaidi