Waliwa wakila
Siku moja yenye jua kali, nzige mdogo aliketi juu ya jani akiwaza jinsi angepata chakula cha kumtosha. Shambani humo, ng’ombe mkubwa alikuwa akizurura huku na kule, akitafuta mabaki ya majani kwa sababu mwenye shamba, Mzee Masimba, alikuwa safarini na hakuwa amemwachia chakula cha kutosha. Nzige alimwangalia ng’ombe yule kwa macho ya matumaini. Akamkaribia na kusema … Read more