Mashua ya paka

Paka wa kwanza, Mweusi, alitokea mji wenye pilikapilika nyingi. Alikuwa ametelekezwa mitaani baada ya mwenyewe kuhamia nchi nyingine.

Panya atoroka na samaki

Lakini hakujua kuwa chini ya meza, panya mmoja mjanja alikuwa akitazama chakula hicho kwa tamaa kubwa.