Skip to content takajua, Author at takajua
Skip to content
takajua

takajua

Ulimwengu wa maneno

  • Tuwasiliane
  • hadithi
  • Methali
  • mashairi
  • fahamu
takajua
takajua
Ulimwengu wa maneno

Author: takajua

HadithiMaembe yangu yako Wapi?
hadithi

Hadithi
Maembe yangu yako Wapi?

natakajua Agosti 7, 2026Agosti 8, 2026

Soma Zaidi HadithiMaembe yangu yako Wapi?Continue

HadithiSafari mbuzi
hadithi

Hadithi
Safari mbuzi

natakajua Juni 29, 2026Julai 2, 2026

Ardhi ikatetemeka.

Chui akaogopa. Alijua hawezi kushindana na nguvu za Ndovu.

Soma Zaidi HadithiSafari mbuziContinue

HadithiTunda la ajabu
hadithi

Hadithi
Tunda la ajabu

natakajua Mei 31, 2026Julai 2, 2026

Wale wanyama watatu wakanyamaza kwa muda. Hawakuwa wamefikiria kwamba kiumbe mwingine alikuwa akiishi ndani ya tunda lile.
Mbuni akasema kwa upole, “Samahani, Kiwavi. Hatukujua kuwa hili ni nyumba yako.”

Soma Zaidi HadithiTunda la ajabuContinue

HadithiMamba Tamaa
hadithi

Hadithi
Mamba Tamaa

natakajua Aprili 23, 2026Julai 3, 2026

Lakini… mamba hakuwa na mabawa.
Alianza kuanguka huku akipiga mayowe, mikono ikipiga hewa bure.
“Naanguka! Naanguka!” alipiga kelele.

Soma Zaidi HadithiMamba TamaaContinue

HadithiAsiyekubali kushindwa si mshindani
hadithi

Hadithi
Asiyekubali kushindwa si mshindani

natakajua Machi 30, 2026Julai 14, 2026

“Tucheze kwa haki,” alisema Kapteni wa Timu Punda.
“Ndiyo, mshindi apatikane kwa juhudi,” akajibu Kapteni wa Timu Tumbili.
Ndovu akapuliza kipenga chake kwa nguvu—fiiiiiiii! Mechi ikaanza.

Soma Zaidi HadithiAsiyekubali kushindwa si mshindaniContinue

HadithiAliwa Akila
hadithi

Hadithi
Aliwa Akila

natakajua Januari 28, 2026Juni 25, 2026

Kwa mshangao mkubwa wa ng’ombe, nzige hawakuwa wachache. Walikuja kwa wingi kama siafu, wakavamia ghala na kuanza kula mahindi kwa pupa.

Soma Zaidi HadithiAliwa AkilaContinue

HadithiMkubwa Ndogo na Mwepesi
hadithi

Hadithi
Mkubwa Ndogo na Mwepesi

natakajua Disemba 22, 2025Juni 25, 2026

“Miti yetu yote imekatwa!” Ndogo alisema kwa huzuni, akitazama matawi
yaliyotapakaa chini. “Tutakaa wapi sasa? Hakuna kivuli, hakuna usalama!”

Soma Zaidi HadithiMkubwa Ndogo na MwepesiContinue

bata juu ya ndovu
fahamu

Fahamu
Shibe ya Bata

natakajua Novemba 26, 2025Mei 17, 2026

Ndege walikusanyika kwa shangwe, kila mmoja akiwa na matumaini ya kuboresha maisha yao. Miongoni mwao alikuwa bata, ambaye alipenda kula kuliko kitu chochote kingine.

Soma Zaidi FahamuShibe ya BataContinue

omondi na samaki
hadithi

Hadithi
Omondi na Samaki

natakajua Oktoba 31, 2025Mei 17, 2026

Lakini hakujua kuwa chini ya meza, panya mmoja mjanja alikuwa akitazama chakula hicho kwa tamaa kubwa.

Soma Zaidi HadithiOmondi na SamakiContinue

Tumbili chui na papa
hadithi

Hadithi
Moyo mtamu wa Tumbili

natakajua Oktoba 11, 2025Oktoba 18, 2025

Tumbili akaona ujanja. Akapanda juu ya papa, akapunga mkono kwa chui:
“Papa atanivusha kule moyo wangu ulipo, ukishaupata utasherehekea!”

Soma Zaidi HadithiMoyo mtamu wa TumbiliContinue

Page navigation

1 2 Kurasa ya mbeleNext

© 2026 takajua - WordPress Theme by Kadence WP

Search